Kama mimi wakati najiunga JF hata nilikuwa sijui kama kuna mambo ya mapenzi huku zaidi ya kupata habari na ubuyu basi.
Kaka mzuri mjanjaaaa, imagine alinispot mwaka uleule niliojiunga! Nilikuwa kadogo na misimamo kibaoooo, ila fala yule akakaza hadi akanipata!
Thou nilikuja kumzingua hapo kati ila nimerudi kwake & the rest is history.
Na naweza kusema bila shaka kabisa he is the love of my life.