Hasara za kumpenda msichana 100%

Hasara za kumpenda msichana 100%

Ndio maana mm nikimwona mwanamke ametelekezwa wala simuonei huruma...... Na dawa yao ni kuwaharibia future yao tu..

Si bure na wanao wataharibiwa sana future zao na kuterekezwa kwa sana.
 
Hata mwanaume akigundua kuwa unampenda sana ni shida punguzeni malamiko wanaume hata nyie mnaumiza sana.
 
mwanamume unatakiwa mguu nje mguu ndani. lasivyo utakuja kubuma nakuanza kuiona dunia ni mbaya.
Nalog off
 
Yeah, ila bahati nzuri sikuweza kufanikiwa.... Na ninaomba hiyo hali isije ikanitokea tena!

Hongera, ila kwa type ya bwana ulonae... ukimuudhi akatoka itakuwa imekula kwako manake harudi tena!
 
Hebu fikiria kama watu wafanyapo mapenzi kila bao lingekuwa na mlio kama wa risasi paaaa! Je usiku tungelala kweli?,Si ingekuwa kelele tu kwenye mapaa ya nyumba zetu. Huku paaa! Kule paaa!,paaa! Mhh, bora hii ya kimya kimya...Maana kwenye gesti ingekuwa kama Libya enzi za Kanali Gadaffi....!
 
Wanawake wao cku hizi hawapendi kuish na wanaume. Wanapenda wazalishwe tu na kuendelea na maisha yao. Cku hz sio km zamani, enzi zile mwanamke hawezi kukutiishia kuondoka hata km akipata kipondo namna gani lkn wao cku hz anakurafutia vijisababu vya hovyo tu just bcoz we hauna worth km fulan
 
Wanawake wao cku hizi hawapendi kuish na wanaume. Wanapenda wazalishwe tu na kuendelea na maisha yao. Cku hz sio km zamani, enzi zile mwanamke hawezi kukutiishia kuondoka hata km akipata kipondo namna gani lkn wao cku hz anakurafutia vijisababu vya hovyo tu just bcoz we hauna worth km fulan

yan mlivyo wasumbufu nyie viumbe me ni bora niwe na mwanangu maisha yasonge, me naishi kwa raha sana npo na mwanangu natafuta pesa kwa sana maisha yanaendelea nawachukia nyie viumbe kama mnavyotuchukia cc, all in all lazima tujue kuwa wanawake na wanaume kila mmoja kwa wakati wake ni wasumbufu na mara chache kumpata mnayefanana na ndipo tatizo linapoanzia
 
ata maneno ya Mungu yanaisisitiza kuwa na kiasi kwa kila jambo. ....
 
Hata wanaume nao hawatakiwi kupendwa 100%, wana matatizo yao nao.
apendwae akajua haishi kujizuzua si kwa mwanamke wala mwanaume.
 
Back
Top Bottom