julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Swala la kupenda 100% ndivyo inavyopaswa ila watu mnapenda msiko pendwa ndilo tatizo lenu mtu anayekupenda hawezi kukusalti!
Ntawambia mara ngapi tafuta msichana anayekupend! hivi fikiria unamkuta msichana ana mchizi wake hajajiandaa kimaisha kumsogeza ndani, unakimbia na mifedha yako ooh nakupenda njoo nikuoe huyo anakuchezea na wasaga sumu kibao wanakusaidia! kesho akikusalti unakuja hapa unalia tatizo ni la nani sasa?