Meja vitalis
Member
- Aug 7, 2013
- 32
- 14
ukipenda ni vizuri kwa wanaume ila kuna haja kubwa sana ya kuwa na kiasi unapokuwa umezama kwenye mapenzi,kuna uwezekano wa mtu kuwa chiz kwa mambo madogo sana! Kwa takwimu zinavyoonesha 86% ya wasichana hupenda kuona wanaume wanaangaika juu yao Huku hali ikiwa tofauti kabisa kwa wanaume maana mwanaume humchoka mapema msichana anayehangaika ili apendwe na mwanaume fulani,na hivyo kama mwanaume amependa kwa 100% inampa shida sana na anaweza kuhisi hana thamani tena katika Dunia hii maana hakuna mwanaume anayependa kuteswa na msichana! so stay at 50% unapompenda mtu na kamwe husimwamini msichana wala kumuonesha kama unampenda sana hata kama unamtania! (NEVER DIS,FULL CUDOS,PEACE&LOVE!)