Hasara ya kuzaa nje ya ndoaaaaaaaa!

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Kuna kijana alikua anataka kuoa akamwabia baba yake kaniposee msichana fulani babake akamwambia tafuta kwingine yule ni dadako ila mamako hajui usimwambie, Kijana akatafuta mwingine baba akamwambia na huyo ni dadako ila mamako hajui watatu tena hivyo hivyo kijana akamind akamwambia mamake, mamake akamwambia kaoe yoyote kati yao kwani na yeye mwenyewe si babako ila yeye hajui!
 
Ndio maana watu wanasema "KULA ULIWE"

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Huenda si wanae hao mabinti ila anamzibia mwanae halafu na yeye anaanza kufukuzia apate pumziko.
 

ngoma drooo, hakuna mshindi
 

Imetulia, kweli wote ni wezi wa wenzio. Jibaba linaiba kumbe na li mama lilimuibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…