Hasara kwa shirika la ndege si hoja

Hasara kwa shirika la ndege si hoja

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,116
Kikundi fulani wamekuja na hoja dhaifu eti kwanini tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara?

Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi.

Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
 
Last edited:
Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Ni Wazo zuri La ndege ili waruhusu mzunguko wa hela mtaani ili mashetani wengi wapande ndege faida iongezeke maradufu
 
pesa lazima kuzitolea jasho, zile za deals sahau, mifumo imewekwa hakuna mianya ya kupeana pesa kiholela. Mathalani, Malipo serikalini sasa unapewa Control # ili pesa iende panapohusika sio mifukoni pa wajanja wachache
 
Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Hio bei ni kama ndege inajaza, isipojaa ni hasara kwa nauli hio.
 
Kikundi fulani ama tuseme sehemu ya familia/SACCOS fulani toka kanda yenye mlima mrefu Afrika, wamekuja na hoja dhaifu eti kwa nn tumenunua ndege maana tutapata Hasara! Seriously? South African Airways, KQ, Rwandair hawapati Hasara? Ndege inachagiza maendeleo ya sekta nyingine kwenye uchumi kama UTALII, biashara/uchuuzi...Leo hii mtu anapaa Dar-Mwanza kwa ndege=132,000/= tsh. (1-way) Wakat ndege ya mwana-SACCOS mwenzao ilikuwa 450,000/= tsh. (1-way)
Unajitahidi kwelu kweli kumeza unayolishwa. Keep on rolling son!
 
Hilo dreamliner lina madaraja matatu, juzi business class ilikua ina watu hata 20 hawakufika, first class ndio kabisaaaaa...Humphrey polepole mwenyewe alipanda kajamba nani kule, sasa unadhani kwenye dege kama hilo faida huwa ipo kajamba nani....?

Tatizo misukule ya lumumba mnakua na mihemko.....tuendelee kupigia pic economy
 
Kusema kweli hadi sasa, kuwa na ndege ni Hatua ! sasa baada kuwa na ndege ambayo ni FAHARI YA NCHI, watu wenye MAWAZO mazuri tuisadie serikali ili ipate faida. kwa kweli kutoka moyoni mwangu naamini kuwa na ndege ni hatua.
KITU kinginen cha kuangalia ni mtu asipande BURE kwa sababu ama za wadhifa, ama ushawishi n.k HAPA KAZI,kila mtu aipie.
 
Ukawa wamekaa kukosoa tu. Honestly hatua hii ni ya kupongezwa
 
Back
Top Bottom