mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 22,631
- 8,417
Nakukosoa hapo kidogo,kafir anaweza kuwa mtu yoyote iwe muislamu au christian,,,,sema jengine,,,
Kwenye imani ya Ukristo hakuna kafir ila kwenye uislamu wapo!
Nakukosoa hapo kidogo,kafir anaweza kuwa mtu yoyote iwe muislamu au christian,,,,sema jengine,,,
Asilimia 99 zanzibar ni waislamu,na zanzibar ina culture yake na mila zake,ukiangalia zanzibar yapo makanisa,asilia moja tulionayo ya christian basi hawajai hayo makanisa tulonayo toka hapo awal kabla ya mapinduzi,makanisa munayotujengea hapa zanzbar hayana viwango na wala hamuna vibali,pia ardhi yetu ni ndogo sana,na kama munavyojua makanisa wanachukua heka,jengine zaidi katiba yetu inasema mtanganyika haruhusiki kumiliki ardhi zanzbar,kutokana na ardhi yetu ni ndogo,hata katiba ya muungano kipo hicho kipenge.
Kuna sheria zipo hapa zanzbar ambazo za umiliki wa ardhi lakini zimekuwa zikivunjwa,na hili ni kosa la serikali ambayo iliyokuwepo hapo awali ilishindwa kulifuatilia na ndio wananchi wameona sasa wachukue hatua mikoni mwao,,,, sema jengine /
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.
Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!
Waongo hao huku hatutaki huku wala kiulaini!
Wamuombe Mnyaa na Arashidi wapeleke hoja BINAFSI Bungeni ya kuuvunja muungano huu wa kisanii. tena leo muache bla bla tumesha wachoka ila hamjui tu. ýí£$ím$ß zeönæ.

Hakuna hasara hata mojaHasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.
Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.
Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!
Lakini pia kuna mafaida kibao.kama permission ya kufanya kazi za wapemba woote walioko kwetu.Umeme sasa mtaanza kulipia na sio kupewa bure . hata huko dubai anakokusifia kuna ushenzi mwingi pamoja na huo wa pombe madanguro na madawa ya kulevya.Aisee mi nitafanya pati siku hiyo
Hivi kwanini Bunge la muungano lenya takriban zaidi ya 80% wabunge wa tanganyika lisijadili hoja hii ya muungano. Na nyie Chadema mnasemaje hapo.
Wa Znz hatuutaki muungano na nyie Bara mlilie Serikali yenu ya Danganyika
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.
Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Na utalii..na Kibiashara.
Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!
hivi huyu jamaa ni mtanzania kweli?au?mbona hajui kiswahili aisee??????au ndo tuseme huko zanzibar hamjui kiswahili?hebu nenda kajifunze kiswahili kwanza then ndo urudi kuendelea kututemea pumba zako,huna lolote na nahisi wewe unachijaribu kuongelea hapa ni udini tuu?sijui ni ufinyu wa mawazo au nini?kama zipo sababu za msingi za zanzibar kujitenga utuambie,lakini sio kuja na kisingizio cha mafuta,udini n.kAsilimiA 99 zanzibar ni waislamu,na zanzibar ina culture yake na mila zake,ukiangalia zanzibar yapo makanisa,asilia moja tulionayo ya christian basi hawajai hayo makanisa tulonayo toka hapo awal kabla ya mapinduzi,makanisa munayotujengea hapa zanzbar hayana viwango na wala hamuna vibali,pia ardhi yetu ni ndogo sana,na kama munavyojua makanisa wanachukua heka,jengine zaidi katiba yetu inasema mtanganyika harusiki kumiliki ardhi zanzbar,kutokana na ardhi yetu ni ndogo,hata katiba ya muungano kipo hicho kipenge