Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika/Tanzania ikiwa Wa Zanzibari watajitenga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika/Tanzania ikiwa Wa Zanzibari watajitenga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GHIBUU, Mar 21, 2011.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
  Na utalii..na Kibiashara.

  Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
  1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
  2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
  3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
  4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
  5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
  6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!
   
 2. w

  wazo mbadala Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umetumwa wewe sio bure.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hivi Zanzibar kuna MAFUTA yanachimbwa?...kama sivyo, ni hasara ipi hiyo tutakayopata kutokana na mbuzi huyo wa kwenye gunia??
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Excellent! Wajitenge haraka basi. Nasi tutafaidi kwani Hamad na Nahodha watatoka huku kwetu
   
 5. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kama wazanzibari hawapendi muungano si jambo baya kujitenga. Ulikuwapo mpango wa kujiunga na Uganda na Kenya hapo zamani. I am sure na wao wangetishia watanganyika kukosa hili na lile kipindi ambapo wangewaza kujitenga. Sishangai kusikia hilo toka kwako maana ndivyo mlivyo nyie wenzetu.
  Bahati mbaya mliyonayo wenzetu kila baya linalowakumba mnadhania mnaletewa na watu wengine. Mnataka ionekane umasikini wa wazanzibari unaletwa na wabara. Mnasahau kabisa utajiri wa ajabu ajabu walionao watendaji wa SMZ ambao inasemekana mishahara yao midogo. Kama kuna ufisadi mkubwa kama ushahidi wa kimazingira unavyoonyesha unadhani inahitajika nguvu kutoka nje kuifanya nchi kuwa maskini?
  Madanguro nayo yanasababishwa na wabara siyo? Wateja wake wanatoka wapi? Hao Mashoga maarufu wa Visiwani wanatoka mkoa gani huku Bara? Ubaguzi wa Wapemba na Wanguja unatoka mkoa gani wa Tanganyika? Watanganyika wanawezaje kutoka bara kufuata kazi za utalii wakati tayari kuna Wazanzibari wanafanya kazi vizuri huko?
  Ushauri wangu kwako Mh. Mbaguzi, Ghibuu, punguzeni malalamiko ya harakaharaka kabla ya kujichunguza wenyewe na kuona ni wapi mnakosea. Wengi wenu hampendi kujituma ndiyo maana hata Wapemba huonekana tishio kwa Wanguja. Sababu ni kwamba wakati wenzenu wanahangaika kusoma na kufanya kazi kwa bidii nyie mpo maskani mnazungumza na kulalamika. Baada ya Muda ooh haiwezekani kila hospitali iongozwe na mpemba au kila hoteli wamejaa Wabara. Ubaguzi hautawaisha na kama mpo serious kuvunja Muungano anzeni kuwashawishi wenzenu visiwani ili mje na kauli moja na hivyo kuwa rahisi kuvunja Muungano. Ingetokea nikawa Rais ningewapa nafasi ya kupiga kura ya maoni kusema Yes or No to Muungano. No ikishinda tu kesho yake naomba kufanya x-change ya maafisa wa serikali na baada ya mwezi natoa uraia kwa Wazenji watakopenda kuishi Bara. Mwisho wa mjadala.
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Free Port? U know what Freeport means? Zanzabar hawataki watu kunywa bia kwenye BAR itakuwaye free port?

  Hawataki Makanisa how can it be a free port? Have you been in Hongo Kong or Just Dubai???

  Wanawaita Waafrika wenzao Kafir just because they are christian before christianity and islam wote tuliamini same... now they are better?

  Be real !!!
   
 7. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Nakukosoa hapo kidogo,kafir anaweza kuwa mtu yoyote iwe muislamu au christian,,,,sema jengine,,,
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kwanini wanachoma Makanisa huko visiwani? what's the name they called people who attended those churches???

  One of my parent is Islam and Another Christian...
   
 9. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Asilimia 99 zanzibar ni waislamu,na zanzibar ina culture yake na mila zake,ukiangalia zanzibar yapo makanisa,asilia moja tulionayo ya christian basi hawajai hayo makanisa tulonayo toka hapo awal kabla ya mapinduzi,makanisa munayotujengea hapa zanzbar hayana viwango na wala hamuna vibali,pia ardhi yetu ni ndogo sana,na kama munavyojua makanisa wanachukua heka,jengine zaidi katiba yetu inasema mtanganyika haruhusiki kumiliki ardhi zanzbar,kutokana na ardhi yetu ni ndogo,hata katiba ya muungano kipo hicho kipenge.

  Kuna sheria zipo hapa zanzbar ambazo za umiliki wa ardhi lakini zimekuwa zikivunjwa,na hili ni kosa la serikali ambayo iliyokuwepo hapo awali ilishindwa kulifuatilia na ndio wananchi wameona sasa wachukue hatua mikoni mwao,,,, sema jengine /
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine ni vyema kumwacha Nguruwe kwenye tope lake alilolizoea maana ukishindana kugaragizana naye ndani ya tope hilo wakati yeye analipenda basi utakayechafuka ni wewe.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,414
  Likes Received: 19,726
  Trophy Points: 280
  al shabib
   
 12. A

  Anold JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180


  Huijui zanzibar wala Tanganyika, hujui hulka za wakazi wa pande zote mbili. Hujui faida za kuungana na hasara za kutengana kwa pande zote mbili. kama OIC inamsaada ingeanzia na Somalia, Sudan na nchi nyingi za Kiislamu ambazo zimekumbwa na machafuko baada ya wananchi kuchoshwa na udhalimu na viwango vya maendeleo kwenye nchi zao.

  unaweza ukawa na freeport lakini kama hakuna mizogo ni bure. Sasa hivi muungano wetu umefika mbali, wapemba wote wajasiliamali wako tandika na kariakoo wanabiashara za kufa mtu, unadhani kunamtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kuvuruga muungano uliopo ili aanze kuhangaika? wewe unasema haya maana naamini tanzania sio makazi yako wewe upo utumwani UK unatunza wazee kama wengine wengi wanavyofanya. Lugha ya kuvunja muungano huku haitamkwi na waungwana inatamkwa na watu wenye fikra finyu, wasio na shukrani wala kujua athari au faida za kuvunja muungano. Mafuta sio suluhisho la kila kitu. ndiyo maana tanzania tuna gas ambayo tulitegemea itakuwa mkombozi wa matatizo yetu yakiwemo ya ukosefu wa nishati ya umeme kinyume chake mpaka leo wala hakuna anayejua faida ya hiyo gesi. kama umetumwa ulete chokochoko waambie waambie waliokutuma watekeleze ushauri wa mizengo pinda alioutoa mwaka jana kwenye kikao cha bunge wakati wa maswali na majibu ya papo kwa papo muone nani atatanga na njia. OIC ni nani? mbona haimsaidii mdau wake Gadaffi? unasiasa za kufikirika eeeh? hivi wewe kama una robokilo ya unga akatokea mwenye gunia la unga akakuambia changanya robo yako halafu tuite unga huu ni wetu sote hutafurahi? mbona mko hivyo jamani!!!
   
 13. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Ni kweli aisee, aanze kuwahamasisha wazenj wenzie ili wauvunje huo muungano badala ya kuja kutulalamikia tu.
   
 14. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kazi unayo ndugu, Manake unavyoonekana na maelezo yako kuna kitu kiko ndani yako mbona umetaja maraisi wawili tu wakati toka tupate uhuru tumekuwa na marais wanne?
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tutawalazimisha kijeshi labda waokolewe na America
   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  UVIVU (hasa wa kufikiri) HAUNA DAWA
   
 17. M

  Malila JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ni vema muungano ukafa,labda hizi kelele zitapungua. Sijawahi pata allowance kwa kuungana na hawa jamaa hapo ng`ambo.
   
 18. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #18
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mtakula nini??..
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Tende, haluwa na gahawa.....
   
 20. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,159
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Waongo hao huku hatutaki huku wala kiulaini!
  Wamuombe Mnyaa na Arashidi wapeleke hoja BINAFSI Bungeni ya kuuvunja muungano huu wa kisanii. tena leo muache bla bla tumesha wachoka ila hamjui tu. ýí£$ím$ß zeönæ.
   
Loading...