Hasara juu ya hasara( hasara promax)

Ni wapumbavu tu wanaodhani ,wanaweza kuuzuia upepo kwa neti
 
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah watabubujikwa machozi ya huzuni
my friends ladies and gentlemen,
ukiskia deni la taifa ni himilivu na stahimilivu, maana yake mambo ni bam bam, mambo ni mazuri sana,

zaidi sana,
ukiona unapata hati safi kwa 99% ujue makusanyo yanakua kwa kasi zaidi na matumizi ya serikali ni mazuri mno.

changamoto, dosari na kasoro ndogo ndogo kwenye baadhi ya tasisi za umma ni muhimu zikachukuliwa kama fursa ya kufanya mabadiliko muhimu ya kisera na kimkakati, ili kuleta tija na ufanisi katika utoaji huduma wenye faida kwa mashirika hayo.
Ni muhimu zaidi kuzingatia haya ndrugo zango, πŸ’
 

Gentleman πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtatoa elimu kila siku machawa na kukataa kila kitu. Mama kadoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…