Sawa mkuu , elimu ni muhimu Kwa ajili ya kuitumikia jamii, yaani mwenye elimu anakuwa mtumwa WA jamii kutokana na mfumo uliopo bongo , labda kama mzazi wako ana uwezo akupe channel nzuri ya kusoma, mfano Yule dogo rubani mkenya ana miaka 17 kashaanza kuendesha ndege, kuna andiko lilipita siku si nyingi lile linajibu maswali mengi kuhusu elimu ya bongo, andiko la kamuzora, ukitaka elimu ikulipe labda ufanye mambo binafsi, watu wengi vipato vyao halali vinavyotokana na elimu haviwatoshi, ndio maana ukumbwa na scandals mbalimbali , tunaposema halipi tunajaribu kutafuta return on the investment,