Harvard study: C student wanafanikiwa Kimaisha kuliko A student

Harvard study: C student wanafanikiwa Kimaisha kuliko A student

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Hivi mnaamini? Angalia watu uliosoma nao wale waliopata A wapo wapi na wale wa C wapo wapi .
 
Attachments

  • CDC58562-0B0B-4CBE-922D-C535F5887492.jpeg
    CDC58562-0B0B-4CBE-922D-C535F5887492.jpeg
    91.1 KB · Views: 71
  • 632928C9-80BE-48EC-BA50-3652B268D4B7.jpeg
    632928C9-80BE-48EC-BA50-3652B268D4B7.jpeg
    4.6 KB · Views: 60
  • FFDCD9C4-102D-4F73-A8DB-5DD0311F02B1.png
    FFDCD9C4-102D-4F73-A8DB-5DD0311F02B1.png
    10.5 KB · Views: 62
  • B0963229-1B0C-41AE-95F9-576FAAFB76AE.jpeg
    B0963229-1B0C-41AE-95F9-576FAAFB76AE.jpeg
    29.3 KB · Views: 63
  • 5662193C-6C18-4AF7-A650-412E1B1A564E.jpeg
    5662193C-6C18-4AF7-A650-412E1B1A564E.jpeg
    14.9 KB · Views: 55
Mpe mwanao elimu kadiri ya uwezo wako. Kama unabisha mwambie mwanao apate C au uzembee kumpa elimu ili afeli halafu aje kufanikiwa kimaisha kama hiyo study ya Harvard inavyosema.

Akhsanta.
 
Mimi "A" student niliosoma nao sasa hivi ni madaktari, mainjinia, malekchara, wahasibu huko TRA, CRDB, Mameneja kwenye taasisi mbalimbali n.k. Waliokua wanafeli wengi saiz ni madereva daladala, bodaboda, wapanda mlima, na wengine ni choka mbaya hawana mbele wala nyuma wapo kijijini.
 
It’s about how much money you have in a pocket
 
Mimi "A" student niliosoma nao sasa hivi ni madaktari, mainjinia, malekchara, wahasibu huko TRA, CRDB, Mameneja kwenye taasisi mbalimbali n.k. Waliokua wanafeli wengi saiz ni madereva daladala, bodaboda, wapanda mlima, na wengine ni choka mbaya hawana mbele wala nyuma wapo kijijini.
Wengine wako vizuri mkuu
 
Waliofeli elimu ya darasani wengi wao wanapeta kiuchumi . Elimu kubwa ni ile ya mtu kujua namna ya kupambana na mazingira yanayokuzunguka ili uishi vizuri . Unakuta professor anampigia magoti darasa la saba ! Imekaaje ?? Aliyesoma anaona aibu kuuza chips ! Kumbe chips ukipatia sehemu nzuri ni kipato kizuri sana . Ukitaka kufanikiwa wewe angalia tu mwisho wa siku una sh. ngapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi "A" student niliosoma nao sasa hivi ni madaktari, mainjinia, malekchara, wahasibu huko TRA, CRDB, Mameneja kwenye taasisi mbalimbali n.k. Waliokua wanafeli wengi saiz ni madereva daladala, bodaboda, wapanda mlima, na wengine ni choka mbaya hawana mbele wala nyuma wapo kijijini.
"A" student bongo wapo wengi na hawana impact kwa nchi zaidi ya kupiga dili ,wengine kina prof k..Abu..di sory prof kabuli wanaona kama wamechelewa kula matunda ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"A" student bongo wapo wengi na hawana impact kwa nchi zaidi ya kupiga dili ,wengine kina prof k..Abu..di sory prof kabuli wanaona kama wamechelewa kula matunda ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu ukisema hawana impact kwa nchi unakua unakosea. Kila mtu ana impact kwa nafasi yake. Mfano hao niliotaja madaktari, mainjinia, mameneja, wanasheria utasemaje hawana impact wakati wanazalisha na wanatoa huduma kila siku
 
Wengine wako vizuri mkuu

Ni kweli wapo ambao hawajasoma na wapo vizuri. Ila ni wachache saana kulinganishwa na waliosoma. Japo watu wengi waliosoma sio mamilionea, lakini wana maisha mazuri ya wastani ukilinganisha na wasiosoma wengi.

Tusifike mahali tukafikiri kusoma ni kupoteza muda kwa kuangalia takwimu za watu wawili watatu ambao wamefanikiwa bila kusoma. Elimu bado ni muhimu sana kutupatia wataalamu kama madaktari, mainjinia, wanasheria, walimu n.k.
 
Write your reply...
maisha hayana formula wakuu
mi darasani nilikuwa napiga A ,kila pepa likija mi nagonga A tu kuanzia darasa la sa 7 hadi form 4 , na maisha yangu yako mwake tu yaani mseleleko
 
Ni kweli wapo ambao hawajasoma na wapo vizuri. Ila ni wachache saana kulinganishwa na waliosoma. Japo watu wengi waliosoma sio mamilionea, lakini wana maisha mazuri ya wastani ukilinganisha na wasiosoma wengi.

Tusifike mahali tukafikiri kusoma ni kupoteza muda kwa kuangalia takwimu za watu wawili watatu ambao wamefanikiwa bila kusoma. Elimu bado ni muhimu sana kutupatia wataalamu kama madaktari, mainjinia, wanasheria, walimu n.k.
mkuu hayo ndo mawazo ya wazee wa fa fa fa fa ili kujifariji,huwa tunaenda nao hivihivi
 
mkuu hayo ndo mawazo ya wazee wa fa fa fa fa ili kujifariji,huwa tunaenda nao hivihivi

Hahaaa.. Tatizo uongo ukisemwa sana itafika mahali watu wataanza kuuamini so ni bora tuweke kumbukumbu sawa mapema.

Halafu pia mifano watu wanayotumia hua ni irrelevant kabisa! Utasikia eti "mbona bill gates aliacha"! Wanasahau yeye alisoma HARVAD na sio kama wewe wa MTAKUJA secondary.
 
kwanza kwa nchi yetu c ni pass tayari huyo mtu alikuwa na nafasi yake chuoni na kumaliza vyema. maeneo ya ufundishaji vyuoni pekee ndiyo huitaji ufaulu wa gpa kubwa kazi zingine zote hazizingatii gpa ya mtu isipokuwa uelewa wa mambo. so bado C or A cant distinguish success of two people in real life.

Nchi yetu wengi waliosoma kwa angalau ngazi ya degree ya kwanza wana unafuu mkubwa wa maisha kulinganisha na kundi kubwa la wale wasio na elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi A students hujiona wao ndo wao yaani wanauwezo kuliko wengine hivyo kila kitu wanadhani wao ndio wanajua zaidi hawana mda mwingi wa kushare knowledge pamoja na skills kwa watu tofauti tofauti lakini wale wa C au B wao mara nyingi hujichanganya na watu mbalimbali wajuu hata wa chini huwasaidia kupata madini na maujanja mbalimbali ndio maana kufanikiwa huwa rahisi kwao
 
Back
Top Bottom