Harusi za zamani na sasa.

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,827
23,110
Kuna tofauti kati ya harusi za sasa na zamani,ilikuwa ni shughuli kupata uso wa bibi arusi wakati wa kupiga picha,na alikuwa amenuna,tofauti na sasa bi arusi kichwa wazi hadi mabegani na tabasamu sana.
 
Back
Top Bottom