Harusi za msimu wa JK.

Harusi za msimu wa JK.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,701
39514959_515344355595661_6079355465358114816_n.jpg


Awamu hii ya Magu harusi zenye mbwembwe za hivi zimekata kabisa aiseee.

Siku hizi vilaji vya fujo hamna kabisa
 
Hahah skuizi kuna harusi za ajabu, huchangishwi ila utalipia kila utakacho kula/kunywa..pamoja Na harusi nzima hamna Viti/makochi ukichoka sepa! Hiyo toroli imetisha..bila shaka ni kiramuu hapo!
 
Hilo toroli nalo linatoka kwenye freezer ama! Maana naona kama lina ukungu hv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom