Harusi ya Zitto na Anna inavyofanyika Zanzibar

huyo mschana hawezi kung'atuka nasikia bwana jepesi aliachiwa koba la makorokocho na mazeri
 
Zitto unaakili lakini una sura Ngumu.

Bi harusi kapendeza Sana.
Rangi ya keki ni kama imenwagiwa mayai kwa juu.

Majungu pembeni hongerani mno.
 
Kuna umri ukifika bado hujafanya wedding ukija kufanya wedding hazihitajiki mbwembwe kama za vijana wanaobarehe.

Hongera Zitto, na ni kwa sababu Zitto anajiweza kiuchumi ndio maana unaweza kuona U-VIP fulani hivi lakini ni simple and quality wedding.

Simpendagi Zitto kwa unafki wake lakini jinsi alivyohandle kuanzia uchumba mpaka harusi yake ameonesha maturity ya hali juu, hii ndoa kina Shigongo hawajapata nafasi ya kutia nuksi zao.

Naomba vijana wengine maarufu ambao bado hamjaoa/kuolewa igeni mfano wa Zitto jinsi alivyoendesha mambo yake kimyakimya hata JF hayakuvuja mpaka siku ya tukio.
Mwingine Mwana FA
 
Hapo ni nungwi znz..sio simple ...ni gharama kubwa ukiweka na usafiri na kulala ni zaidi ya serena
 
Mkuu..
Mh.Zitto Zuberi..
Umeoa katika UMRI sahihi kabisa..
Mfano sahihi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom