Harusi ya Zitto na Anna inavyofanyika Zanzibar


mrs fiance

mrs fiance

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
352
Likes
163
Points
60
mrs fiance

mrs fiance

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
352 163 60
Walinoga.iko simple na nzuri.kwa hiyo tayari au walikuwa wanavishana Pete.?
 
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
2,607
Likes
1,316
Points
280
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
2,607 1,316 280
....marafiki zake Kafulila,Silinde... sasa imebaki historia.!!
 
cerengeti

cerengeti

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
3,644
Likes
1,198
Points
280
cerengeti

cerengeti

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
3,644 1,198 280
Tuwaombee maisha mema katika ndoa yao.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,845
Likes
19,412
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,845 19,412 280
Harusi imekaa kifreestyle.
Kuna umri ukifika bado hujafanya wedding ukija kufanya wedding hazihitajiki mbwembwe kama za vijana wanaobarehe.

Hongera Zitto, na ni kwa sababu Zitto anajiweza kiuchumi ndio maana unaweza kuona U-VIP fulani hivi lakini ni simple and quality wedding.

Simpendagi Zitto kwa unafki wake lakini jinsi alivyohandle kuanzia uchumba mpaka harusi yake ameonesha maturity ya hali juu, hii ndoa kina Shigongo hawajapata nafasi ya kutia nuksi zao.

Naomba vijana wengine maarufu ambao bado hamjaoa/kuolewa igeni mfano wa Zitto jinsi alivyoendesha mambo yake kimyakimya hata JF hayakuvuja mpaka siku ya tukio.
 

Forum statistics

Threads 1,237,666
Members 475,675
Posts 29,296,673