Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Alitaka kupindua nchi nini tumshikishe adabu sisi machokoraaa????? Sema???
PJ amenikosea sana.......
Alitaka kupindua nchi nini tumshikishe adabu sisi machokoraaa????? Sema???
ndio mwaya.....ila kama bwana harusi kaingia mitini.....simuoni.....
FirstLady1 Ila sio ndoano kama ya Ze komedi
Yetu ya ukweli
FirstLady1 mi naahidi kumtunza Preta kwa shida na raha wala usijali....!Sasa dah uhusiano wenu umedumu kwa muda gani....teteh
harafu na wewe Erickb52 umtunze mkeo kama bado hujaingia mitini:israel:
ndio mwaya.....ila kama bwana harusi kaingia mitini.....simuoni.....
FirstLady1 mi naahidi kumtunza Preta kwa shida na raha wala usijali....!
Sema tu hajatulia mwombee atulie kidogo
Mzee wa Rula unaniwekea kiwingu aisee na Eid yangu ilikuwa nzuri sana coz nilikuwa na Preta tunatest test mautamu kabla ya ndoa siunajua mbuzi kwa gunia haifai
Erick huyu huyu? Afadhal mi niende nikapumzke kwa Amyner.
FirstLady1 mi naahidi kumtunza Preta kwa shida na raha wala usijali....!
Sema tu hajatulia mwombee atulie kidogo
Uyu pasua kichwa kapata wa kumuo? pole yake uyo husband 2be
Uyu pasua kichwa kapata wa kumuo? pole yake uyo husband 2be