Harusi ya Preta Yasogezwa Mbele...!

Kwa kweli hata nami hili la M/kiti kuja kuweka kila kitu wazi ckutegemea!

Ila kama siyo napoteza kumbukumbu,pale tulipoagana hatujamwambia mwanakamati yoyote asirushe ama irushwe.

ha ha ha.....will be back soon....siamini mwenyekiti wa kamati uje utoe siri hadharni namna hii.....
hii harusi ilikuwa siri.....au unataka Amyner na mtu chake waweke pingamizi....?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hata nami hili la M/kiti kuja kuweka kila kitu wazi ckutegemea!

Ila kama siyo napoteza kumbukumbu,pale tulipoagana hatujamwambia mwanakamati yoyote asirushe ama irushwe.
M/kiti ana kauli ya mwisho hivyo anaweza kuamua chochote, hata kana kitaenda kinyume na matakwa ya kamati nzima.
Kupeleka hewani jambo hili ilipasa, maana vinginevyo tungepata kesi mbaya sn toka kwa wanajamvi karibia 8 wanaogombea na waliotangaza nia, akiwemo muzee ya Maprado, Ndallo !
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hata nami hili la M/kiti kuja kuweka kila kitu wazi ckutegemea!

Ila kama siyo napoteza kumbukumbu,pale tulipoagana hatujamwambia mwanakamati yoyote asirushe ama irushwe.

halafu kaingia mitini.....mwenyekiti bure sana huyu.....
 
Wadau,

Napenda kuwajulisha kuwa harusi ya Preta na Erickb52 iliyokuwa ifanyike tarehe 25 kuamkia 26/08/2012 imeahirishwa hadi siku isiyojulikana, kutokana na sababu kuwa baada ya harusi tulipanga walale Honeymoon gesti inayoitwa Arusha-Raha...na hivyo zoezi la sensa lingewapita kushoto!
Wamekataa katakata na kusema bora waahirishe arusi kuliko kukosa sensa.

Wapeni ushauri zaidi!

Chanzo: Mimi ni mwanakamati!

Afadhali imesogezwa maana wadau wengi tulikuwa hatujui kama erick52 kachukua jimbo, PakaJimmy weka fitna mpaka mwisho vinginevyo hakuna baraka toka kwa Mungi, ambaye kamlea Preta toka akiwa kinda!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom