Harusi ya Preta Yasogezwa Mbele...!

halafu wewe.....kila ukiwa na Vaselisa unabutua sana.....mwanamke simpendi yule....toka anikwarue na makucha yake....sitaki hata kumuona.....namchukia kama nini.....
Huna option, mpende tu mwaya!...kwanza kila siku mko njia moja mnapoenda.......
Halafu sijui kwanini anakupendaga vile huyu mke wangu!...amenambia nimpe namba yako anataka kukupigia.
 
Huna option, mpende tu mwaya!...kwanza kila siku mko njia moja mnapoenda.......
Halafu sijui kwanini anakupendaga vile huyu mke wangu!...amenambia nimpe namba yako anataka kukupigia.

sitaki.....asinipigie....nitakuja nimnyofoe kichwa.....
 
Wadau,

Napenda kuwajulisha kuwa harusi ya Preta na Erickb52 iliyokuwa ifanyike tarehe 25 kuamkia 26/08/2012 imeahirishwa hadi siku isiyojulikana, kutokana na sababu kuwa baada ya harusi tulipanga walale Honeymoon gesti inayoitwa Arusha-Raha...na hivyo zoezi la sensa lingewapita kushoto!
Wamekataa katakata na kusema bora waahirishe arusi kuliko kukosa sensa.

Wapeni ushauri zaidi!


Chanzo: Mimi ni mwanakamati!
Hahahaaaa PakaJimmy umeniharibia aisee lol
Kwanza Preta juzi kanichimba mkwara eti ana wanaume wengi lol
 
Last edited by a moderator:
Wenyewe hatuna hamu na tukio hili...Wametuacha hoi!
Juzijuzi Eric alimhakikishia Remmy kuwa atafunga naye pingu za maisha, sielewi msichana huyu wa Kimasai Preta kamlisha nini Eric!...huenda ndio kampa kitu inaitwa loshoroo!
Heheheheeee unacheza na Preta ?
Kwanza naona Amyner mimba inamsumbua na Remmy mtoto bado mdogo na hatukupanga kuwa tutafunga ndoa so nimeona nibaki zangu kwa huyu ambaye yuko karibu na mimi ukizingatia msimu wa baridi umeniumiza sana siwezi kuendelea na maumivu! mtu chake KakaKiiza na TANMO imekula kwenu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom