Harusi ya mjukuu wa Malkia Elizabeth Eugenie ilivyokuwa leo 12/10/2018

Yule Sophie alipewa onyo kabla ya ndoa kuwa ya mle ni ya mle na asije akadai talaka. Wakati anaolewa Diana na Fergie walishaachika.
Doooh Sophie angefyekelewa mbali asee kama Di

Buckingham ni noma hawataki mchezo mchezo kabisa!
 
Ni kweli hata ile ndoa malaika aliikubali kumfurahisha tu Charles. Ninasikia Camilla hampendi Kate pia.
Camilla Parker Rottweiler watu hadi mle ndani wanasema kamfanyia uwitch Chale ili apendwe!

Hivi Cammi wa kumfukuzisha ndoa Di? Kwa kipi? Kibibi kilevi, mdomo mchafu, hana heshima eti ndo Chale kafa kaoza khaaa!... Kweli matunguli yapo asee

Her Majesty anampenda first born kufaa, humwambii kitu kuhusu Chale asee
 
Ni binti wa Prince Andrew mtoto wa tatu wa Malkia Elizabeth.....
Lakini enzi zake Andrew alikuwa handsome, Diana alimpenda sana Andrew lakini ilibidi aolewe na first born kwakua umri wa kuoa ulifika na ilikuwa lazima future king aoe bikra.
 
Lakini enzi zake Andrew alikuwa handsome, Diana alimpenda sana Andrew lakini ilibidi aolewe na first born kwakua umri wa kuoa ulifika na ilikuwa lazima future king aoe bikra.
Maskini Di labda na Andy wangedumu....Andrew namuona kama mtulivu fulani hivi
 
Maskini Di labda na Andy wangedumu....Andrew namuona kama mtulivu fulani hivi
Andrew mtu wa bata kali. Akioa tu Fergie hawezi kuwa Dutches tena. Kwasababu hiyo wamekubaliana hataoa tena wala Sarah hataolewa ili aendelee kuitwa Dutches if York
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom