Harusi ya Mengi na K-Lyn

Hapendwi mtu bali pesa iliua dada yangu kwa Ukimwi; baada kuachana mmewe wa kwanza na kuolewa na tajiri !
 
Ndg.Mengi siyo mwanafunzi wa mwl. Mwakasege wa huduma ya Mana, na akiwa pia mzee wa kanisa la kilutheri ....... ?
 
Sawa ngoja tu nikubali yaishe,
Huyu kaka hata hivyo naona ana kiu ya watoto,
Acha tu aoe, maisha ni hayo hayo tu.

 
Fedha heshima shikamoo kelele.

Muacheni aolewe tu, alikuwepo siku zote vijana hawakumuona leo babu kajichukulia chombo mnalia, mwacheni babu aongeze siku za kuishi, nyie endeleeni kuwaoa wanaume wenzenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…