Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
kwa mwendo huu vijana tutatafta watoto wa prmary
kwa mwendo huu vijana tutatafta watoto wa prmary
hlf hao utawapata kama unakibanda cha kuazima CD au unaweka nyimbo kwenye simu...vinapendaga sijui kwaninii...???
Mamndenyi bana, kwani uzee wa kanisa unaondoa ubinadamu wa mtu, au ukiwa mzee wa kanisa hutakiwi kupenda?Mtaani kwangu mzee mmoja wa kanisa ana michepuko kadhaa. Labda ungekuja na gia ya kifamilia ningekuelewa angalau kidogoKutoka uzee wa kanisa hadi hapo yataka moyo. Hongera Reginald.
namuona mzee emmanuel ole naiko.
Kwan ndugu Mengi alikuwa hajaoa tu/ hakuna na mke??
huyo msimamizi ni nani? FELIX MOSHA?Pesa ina nguvu ya ushawishi, binti ameolewa na baba yake!
Lakini mbona kwenye hii harusi mdogo wake Benjamin Mengi simwoni?? Au yeye alisusia, maana yule mzee nae ana misimamo yake na huwa hapindishwi na kaka yake
Huyo hapo
namuona mzee emmanuel ole naiko.