Kwa ushauri wa haraka Manara asingeoa kabisa na kama kuoa angeoa Mwanamke mkubwa above 35 au forty. Why
Manara ana kisukari kikali sana hivyo hawezi kumridhisha mke hasa mdogo kama huyo na ndio sababu kubwa ya kuachwa na mke wa kwanza.
Ndo maana vijana wengi wanapendaga sana wadada wakubwa wakubwa au wake za watu sababu katika umri huo kama mwanaume hajiweki fiti vizuri mke kuchepuka ni rahisi sana sababu anakua anataka deile...