Sasa wewe unakereka Nini Mimi kumuuliza yeye Dada(kwa heshima tu nakuuliza) ? Maana aliniquote nikamuuliza huoni Kama yalikuwa ni mazungumzo yetu sisi we unaingilia ya nini badala ya kuendelea na mambo yako? kwani Nimekwambia nimepata shida? Nauliza kwa upole tu
Hapana Mamy sio Uchawi ,ndoa hizi za mbwembwe nyingi % kubwa huwa hazidumu kabisa!! Na hii ya Manara naona kabisa hapa kwenye Radar yangu haifiki 2022.
Huyu bwana huwa namuonaga kama ana’utoto’ mwingi. Nahisi hata huyo dada akikua kidogo tu, atajionea shida kukaa kwenye utoto wa kiasi hicho. Atakimbia tu kama mwenzie, sema kwa sasa bado nae hajakua.