mzee anakula mema tuNa mzee wa Msoga alikuwepo pia huko
Socialization kwake ni msamiatiMbona magu simuoni?
Ndio hajachoka muda mwingi anafurahi tumzee anakula mema tu
Hicho ni kiswahili cha wapi ndugu?Warikuwepo wewe wa wapi wewe!?
Chura sio kigezo cha kuolewa chunguza utagundua.Mzee wa Msoga, ishu kama hizi huwa hakosi kabisa aisee.
Ila nilichogundua Mungu huwa hakupi vyote.
Kama huyu binti baba mwenye mihela Afrika nzima, ila kamnyima chura.
Upande wa kulia, pembeni ya JK Kama mzee Arsen Wenga vile..J. K mzee wa boda 2 boda arikuwepo piaView attachment 724202