Harusi nilioudhuria jmosi

hahahah!!asee hii kitu ilikuwaaa moshiii,rombo hahhahaha umenikumbushaa mbalii sana smile
 


Mungu awatangulie wasije fikia hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukubwa wa sherehe sio ubora wa maisha. Mungu awabariki maharusi awajalie maisha yenye furaha
 
cha kufurahisha hata bibi harusi alikuwa bikra

we smile umejuaje kama alikua nayo alikua unakula chabo nini maana hamtabiriki
unjua hadi siri zao za bikra?
 
hahahah!!asee hii kitu ilikuwaaa moshiii,rombo hahhahaha umenikumbushaa mbalii sana smile

Acha uzandiki mtoto wa kike, rombo hakuna nyumba ya nyasi, zilipoteaga miaka ya 70.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…