Harusi kuanza kulipiwa kodi

Serikali imekosa mwelekeo na vyanzo vya makato hadi wameona wakate kodi kwenye harusi?
Harusi za Hao walevi zinakera Sana, 250,000/=per head? Zawadi ya Kamati 1,000,000/= out-of 200 people. ?
 
Nimeona habari hii kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la jambo Leo. Kama itakuwa 18% nadhani itabadilisha sasa hizi harusi watu watafanya tu simplest ndoa kukwepa kodi na mifuko itasalimia sasa kulipia harusi
kama umelisoma hilo gazeti naomba utufafanulie,kodi watakata kwenye mahari,michango ya sherehe,send off au kitchen party?dadavua kidogo
 
Ndo mwisho wa uwezo wa kufikiribwa serikali hii ulipofika, eti ndo vyanzo vipya vya mapato kuiwndesha nchi! Badala ya kufocus kwenye secta za madini, gesi, kilimo, uvuvi, bandar etc wanafocus kuumiza watu kwa vikodi vya hovyo hovyo
 
kodi kila kitu no bureeeee BORA TUNAISOMA NAMBA NANYINYI FISIEM hahah wapi Eddo kula mara kumi kwa siku
 
Ndo mwisho wa uwezo wa kufikiribwa serikali hii ulipofika, eti ndo vyanzo vipya vya mapato kuiwndesha nchi! Badala ya kufocus kwenye secta za madini, gesi, kilimo, uvuvi, bandar etc wanafocus kuumiza watu kwa vikodi vya hovyo hovyo

Bado hatujafika mwisho mkuu hata sadaka nayo tutakata kodi
 
Umesema vyema mkuu.

Viongozi wetu ni vilaza kiasi kwamba vitu kama hivyo wanavifumbia macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…