Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,367
- 10,396
Kazi ni kulima tu!!!Wakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya.
Kazi zipo
Kazi zipo
Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu
Kazi ni kulima tu!!!Wakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya.
Kazi zipo
Kazi zipo
Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu
HeheheMkuu,
ulipigiza kichwa au?
mbona kama mafile yanaingilina.
Katika tembea tembea unaweza okota nyumba au gariWakuu tuwe na utaratibu wa kutembea tembea kutafuta kazi za kufanya.
Kazi zipo
Kazi zipo
Vibarua vipo..kijana pambana ni mda wako huu