Harusi hii ilifana sana!!!

Nikimuhukumu bibi harusi kwa usoni nafikiri kafikia umri ambao wanawake wengi huolewa Na yeyote.
 
huyo mwafrika hapo nyuma kafata nini?
 
kuna manung'ayembe kama kina madame B hata hako tu hawajakapata hadi leo wanarandaranda tu mjini hapa.
 
Huu msemo nauskia Sana, naomba udadavuzi wake mkuu...
Tunaangalia majibu/ mafanikio na sio amefanyaje mpaka akafikia majibu au mafanikio husika, hata kama ulifikia hapo kwa njia batili. The end justify the means
 
Reactions: dtj
Tunaangalia majibu/ mafanikio na sio amefanyaje mpaka akafikia majibu au mafanikio husika, hata kama ulifikia hapo kwa njia batili. The end justify the means
[emoji23][emoji23]Ahhh kumbe una maana sana, umenikumbusha maana za nahau na methali.
 
kuna manung'ayembe kama kina madame B hata hako tu hawajakapata hadi leo wanarandaranda tu mjini hapa.
Mungu wangu[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…