Harusi bab kubwa ndoa chali

Harusi bab kubwa ndoa chali

Kuna watu wengine hata wakioana basi kichwani mwako huwa unajiuliza mara tano tano kama hiyo ndoa itadumu, kutokana na kuwafahamu kwako wananfoa. Nahisi ndivyo ilivyokuwa

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 
Hizi harusi wanatufanyia mbwembwe nyingi siku hizi nimeacha kuchangia huu ujinga.
Mwingine unakuta kaishi na mwanamke miaka 5 Wana watoto kabisa aafu anakuja kutuchangisha michango ya harusi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Unamficha mtu ambaye atakuwa mumeo jambo kubwa kama hilo la kuwa mtoto?...hili ni kosa kubwa sana...
 
Sio kweli. Ndo inavunjika saa yeyote from miaezi mitatu sema kuna tofauti.
1. Baada ya miezi 3 mkashindwana na wote mkaridhia kuvunjwa ndoa basi ndoa inavunjwa na mahakama muda wowote mkifata taratibu.
2. Ndoa inaweza kuvunjwa baada ya miaka miwili hadi mitatu pale kunapokuwa na kuridhia kuvunja kwa upande mmoja wa mwanandoa. Ikiwa ametaka tuu mmoja wetu basi mnapewa separation ya miaka miwili hadi mitatu mkajitathimini then mkirudi tena hata kama kutakuweo na upande ambao haujaridhia basi ndoa itavunjwa kutokana na kukosekana kwa mahitaji ya muhimu kwenye ndoa
Mkuu ndoa haijafa ila wametengana tuu
Sheria ya ndoa inataka mpaka mmalize mda wa miaka miwili ndipo mpeleke petition ya kunullify marriage

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka jana mwezi wa 9 nilipokea text WhatsApp kutoka kwa ndugu yangu (mdada) ya mchango wa harusi.
Mzee mzima nikajichanga nikarusha 50,000/- Mpesa kupitia kwa msela Wangu yupo bongo japokuwa nipo nje ya nchi.

Harusi ilikuwa mwezi 12 siku 4 kabla ya Xmas.
Nikasema mambo si ndo Hayo nikarudi Tz kusalimia home na harusi juu.
Harusi bab kubwa tulikula tukanywa soda na gambe la kufa mtu, hadi kwa sisi wadau wa rubisi na karobo na senene zilikuwepo.

Bibi harusi na farasi alipanda honeymoon Mauritius.
Khe Leo napata habari ndoa imekufa.
Kwa kweli nimesikitika ila kimoyomoyo nasema bora nilirudi kula kuku Wangu niliochangia.
50 yangu haikwenda bure.

Updates:
Bwana harusi hakujua kama bi harusi ana mtoto wa miaka 5.
Dada kaniangusha.
Mi nilidhani anajua maana huyo mtoto kwenye harusi nilimuona.


Ishu kama hii ilimtokea dingi mkubwa miaka ya 80.
Alichoamua yeye niendelea na ndoa ila yule mtoto hakukanyaga kwa dingi mkubwa hadi alipofariki. (miaka kama 15 imepita hivi). Nilipokutana na huyu mtoto baada ya msiba (Alikuwa ni bro kwangu) sikuamini maana alikuwa Model na kwenye matangazo ya mabango mjini picha zake nilikuwa naziona ila sikuwa najua ni mtoto wa maza mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Cheat on my bitch, she know I'm dishonest
But I'm just a product of my environment
 
Bi harusi hakumjulisha shemeji kama ana mtoto (5 yrs old)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaha

hahahaahahahahahah


Aiseee mimi manzi siwezi sex nae nisijuee huyu kazaa .

Kuna manzi mmoja nilikuwa naee ila nilimpata baada ya yeye kuwa na matatizo mwaka 2013.

Sasa alikuwa ni mkali yani hataki mazoea. Ila kutokana na shida ikabidi awe mpolee nikala. Nikakaa siku mbili nika mwambia kuwa una mtoto. Demu aligomaa ila akaja akakubaliii mwishoniii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahaha

hahahaahahahahahah


Aiseee mimi manzi siwezi sex nae nisijuee huyu kazaa .

Kuna manzi mmoja nilikuwa naee ila nilimpata baada ya yeye kuwa na matatizo mwaka 2013.

Sasa alikuwa ni mkali yani hataki mazoea. Ila kutokana na shida ikabidi awe mpolee nikala. Nikakaa siku mbili nika mwambia kuwa una mtoto. Demu aligomaa ila akaja akakubaliii mwishoniii.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mkali
Kuna chalii mmoja 2016 hekaheka za Geah Cloudsfm, aliambiwa ametoa bikra BINTI wa miaka 16 kumbe dada ana miaka 32 na ana watoto 4, kaja kustuliwa baadaya ndoa kufungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom