Harusi bab kubwa ndoa chali

Harusi bab kubwa ndoa chali

Kwa watu ambao ni very matured
Ndio inayovunjika mwanzo kabla ya kukaa muda mwingi, kupata watoto na kuchuma mali ina afadhali kuliko kinyume chake.
Imagine unapanda bus la kwenda umbali mrefu then linaharibika katikati ya safari au linaharibika mwanzoni mwa safari ungechakua kipi?
Tatizo la sisi ambao hatufurahii ndoa zetu na sisi ambao hatujapata wenza na sisi tuliokosa pesa za harusi na sisi ambao harusi zetu hazikufana ndio tunajifanya kushangaa huku tukifurahia haya mambo ya ndoa kuvunjika mwanzoni. Ila kiuhalisia ni ndoa nyingi sana zinavunjika zikiwa zimedumu na wanandoa wakiwa wameshapata watoto na kuchuma mali nyingi na hili linasababisha hadi kuondoa uhai wa baadhi yetu.
N.B Ukiona au ukijipata hujaolewa au kuoa na umri umeenda usianze kusingizia ndoa zinavunjika na kutolea mifano huku ukijua huwezi hata kufanya ya kwako na kuivunja.
Mifano ya watu waliooana na ndoa zao zikadumu kwa furaha zipo nyingi sana na zipo pia ndoa chache zilizofungwa na kuvunjika mwanzoni au mbele ya safari. Tuliza akili yako uolewe achana kurukaruka uolewe. Usitumie mifano ya walioshindwa. Ni sawa na kupata pesa sio kitu rahisi ila kuna watu wanachukua risk na wanafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka jana mwezi wa 9 nilipokea text WhatsApp kutoka kwa ndugu yangu (mdada) ya mchango wa harusi.
Mzee mzima nikajichanga nikarusha 50,000/- Mpesa kupitia kwa msela Wangu yupo bongo japokuwa nipo nje ya nchi.

Harusi ilikuwa mwezi 12 siku 4 kabla ya Xmas.
Nikasema mambo si ndo Hayo nikarudi Tz kusalimia home na harusi juu.
Harusi bab kubwa tulikula tukanywa soda na gambe la kufa mtu, hadi kwa sisi wadau wa rubisi na karobo na senene zilikuwepo.

Bibi harusi na farasi alipanda honeymoon Mauritius.
Khe Leo napata habari ndoa imekufa.
Kwa kweli nimesikitika ila kimoyomoyo nasema bora nilirudi kula kuku Wangu niliochangia.
50 yangu haikwenda bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kumla bibi harusi au bwana au harusi au waliokula 50 yako kuwa wazi. Unapenda maafa sana ww unashangilia tatizo. Upo majuu unawaza 50 je ungekuwa Tandale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimejikuta nasikitika sana, ingawa siwajui wana ndoa hao

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata mie imenisikitisha Baba Paroko.

Mpaka najikuta nawaza nini chanzo sababu sidhani kama watu huwa wanaoana ili ndani ya muda mfupi waachane.

Kwani wengi wanakuwa na matarajio ya kuishi ndoani hadi mmoja afe na kumzika mwenzake sasa ikitokea hivi inakuwa mbaya sana aisee.

Pia upande mwingine kifikiria na watu muda waliopoteza watu na magharama waliyomaliza kukamilisha harusi. Daah.
 
Haya mambo watu wengi huyachukulia kwa namna na mitazamo rahisi sana, ingawa kimsingi hizi ndoa zina changoto na wengi ambao hawajaingia kwenye ndoa wanachukulia poa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa watu ambao ni very matured
Ndio inayovunjika mwanzo kabla ya kukaa muda mwingi, kupata watoto na kuchuma mali ina afadhali kuliko kinyume chake.
Imagine unapanda bus la kwenda umbali mrefu then linaharibika katikati ya safari au linaharibika mwanzoni mwa safari ungechakua kipi?
Tatizo la sisi ambao hatufurahii ndoa zetu na sisi ambao hatujapata wenza na sisi tuliokosa pesa za harusi na sisi ambao harusi zetu hazikufana ndio tunajifanya kushangaa huku tukifurahia haya mambo ya ndoa kuvunjika mwanzoni. Ila kiuhalisia ni ndoa nyingi sana zinavunjika zikiwa zimedumu na wanandoa wakiwa wameshapata watoto na kuchuma mali nyingi na hili linasababisha hadi kuondoa uhai wa baadhi yetu.
N.B Ukiona au ukijipata hujaolewa au kuoa na umri umeenda usianze kusingizia ndoa zinavunjika na kutolea mifano huku ukijua huwezi hata kufanya ya kwako na kuivunja.
Mifano ya watu waliooana na ndoa zao zikadumu kwa furaha zipo nyingi sana na zipo pia ndoa chache zilizofungwa na kuvunjika mwanzoni au mbele ya safari. Tuliza akili yako uolewe achana kurukaruka uolewe. Usitumie mifano ya walioshindwa. Ni sawa na kupata pesa sio kitu rahisi ila kuna watu wanachukua risk na wanafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bi harusi hakumjulisha shemeji kama ana mtoto (5 yrs old)
ya kweli haya mkuu?nini chanzo cha kuachana?
Imevunjika kisa nini sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana jamaa alikutana na kitu Cha MTERA

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikama habari hii imekufurahisha sana mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo cha ndoa kufa ni nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli, inasikitisha mno.
Ndoa ina mambo mengi, mkifanikiwa kudumu unamshukuru Mungu. Hapo wahusika sijui wana hali gani maskini
Hivi kwa nini Mara nyingi ndoa za gharama zinavunjika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom