Jamaa naona ana nia ya kusepa
Mkuu huenda unajua mengi..Nipo mkuu nasubiri tamko lakoNtarudi kudadavua!
Sijui ni kitu gani peoples wanakiona cha Kipekee sana kuhusu Niyo hata astahili coverage hii.Jamaa naona ana nia ya kusepa
Kiiza ndo nani? Shirikisha ubongo wake katika kung'amua mamboMwacheni Fundi aendelee na Maisha. Kiiza aliwambia, hata msajili messi hamuwezi kuwa Champ Of VPL
Kiiza ndo nani? Shirikisha ubongo wake katika kung'amua mambo
We jamaa yangu kweli una mapenzi na Yanga.Mwacheni Fundi aendelee na Maisha. Kiiza aliwambia, hata msajili messi hamuwezi kuwa Champ Of VPL
"Lugha ya kibiashara hiyo. Yanga ongeza dau au laa natimkia Simba". Pesa ya usajili haijawahi kumwacha mchezaji salamaNiyonzima anadai hawezi kuweka wazi kama amesaini na klabu yoyote kwani mpaka sasa mkataba wake na Yanga bado haujamalizika.
Hata hivyo anadai bado hajaongeza mkataba na klabu hiyo.
Kwa sasa Haruna yupo likizo na anaomba apewe muda apumzike na familia mbali na kuhusishwa na mambo ya mitandaoni.
~Kirerenya~