cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 116,654 Reaction score 188,866 May 7, 2026 #241 Hulda-Tamarri said: Anayebisha hajaishi nao. Ni wasafi sana kwakweli. Ukikutana na mdada wa kirangi mchafu ujue huyo hajakulia kwao au hajalelewa na mama mrangi aliyekulia urangini. Click to expand... Naunga mkono hoja, kuna dada tulikua tunaishi jirani, nyie anaoga mara 3 kwa siku, yaan mda wote yuko safii. Lol
Hulda-Tamarri said: Anayebisha hajaishi nao. Ni wasafi sana kwakweli. Ukikutana na mdada wa kirangi mchafu ujue huyo hajakulia kwao au hajalelewa na mama mrangi aliyekulia urangini. Click to expand... Naunga mkono hoja, kuna dada tulikua tunaishi jirani, nyie anaoga mara 3 kwa siku, yaan mda wote yuko safii. Lol