Harufu ya Uchaga

Harufu ya Uchaga

Kama baba alitaka harufu ya uchaga huyu dogo ana harufu, rangi na ladha pia.
 
Huyu dogo anatisha kinoma, mm namuongezea na harufu ya kabila la kule ziwa magharibi lenye mipango mikakati ya kuchuma pesa kwa akili

Kwani Mndengereko wangu amekoma? cheki part II ya hii stori kwenye Harufu ya Uhaya. Iko jukwaa hili hili.
 
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa Yesu ruwaaaaa
 
Back
Top Bottom