Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,264
Acha basi ku fantasize bana. Mbona machalii tupo hapa achana na huyo foreigner atakufanya uugue moyo tu.Unanichanganya ujue chalii..nguo nilizohugiana nae wallahi sizifui.nafikiri kwakuwa bado kunahifadhi ya hiyo harufu kwenye nguo nilitoka siku hizo mbili tofauti


mida ya kuondoka bhana mkaka mmoja hivi (ninafahamiana nae)akaniambia 

mwamba alikuwa ananukia vizuri mamaaaa(aliustua mtima wangu wallahi).


