Harufu ya kondomu inaninyima raha!

bana pumzi wakati wa kuvaa halafu uache huko chini mambo yajiendeshe automatic. kwani unavaa puani?.mi nilijua labda unalalamika zinakubana kumbe harufu tu!.bora harufu kuliko kufa. over
 
Ndg zangu ninapotaka kuduu kwa ukweli kondomo inanisumbua sana harufu yake
nimejaribu sana kuvumilia nashindwa bora harufu ya K************* naweza vumilia
kuacha kutumia naogopa lakini sina raha na kitu hiki nisaidiwe
plse

Acha uzinzi, kuwa na mpenzi mmoja mnaeaminiana, mkapime VVU, the baada ya hapo ni nyama kwa nyama kwa kwenda mbereee!
 
Acha uzinzi, kuwa na mpenzi mmoja mnaeaminiana, mkapime VVU, the baada ya hapo ni nyama kwa nyama kwa kwenda mbereee!
Na kweli maana kutumia kundomu knataka watumiaji wawe na mashaka mashaka......... HEBU FIKIRI...... umeenda wodi ya wagonjwa wa ukimwi au majumbani unakutana na mwenye ule ukimwi wa enziu zile.....kakondaaaaaaaa na vyeti vinasema anao.....UTAKUBALI UKARAMBANE NAYE KWA KUTAUMIA KONDOMU....??? AU NUTATOKA BARUTI.......???
 
Ndg zangu ninapotaka kuduu kwa ukweli kondomo inanisumbua sana harufu yake
nimejaribu sana kuvumilia nashindwa bora harufu ya K************* naweza vumilia
kuacha kutumia naogopa lakini sina raha na kitu hiki nisaidiwe
plse

Kumbe K inanuka?
 
We mı sıkuelewı mara harufu ya NDOM mara K, nıkushaurı lıpı sasa!
Yawezekana harufu ınayokukwaza nı ya K sıo ndom.
Haya ndo madhara ya kuangusha vıtoto vya uswahılını.
Kula watu wazıma wenzıo na usıwe bahırı ınapokuja suala la kujıkınga na maradhı tumıa condom yenye qualıty nzurı na utumıe moja kwa tendo moja sıo kuloweka mtarımbo wako mpaka hamu zıkuıshe ndo unachomoa.
Jıtambue!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom