Bwana weye tulishamwelewa, wewe tu na kihere here chako
Kudadadeki! Sired nyengine yatupasa tuvae miwani ili tung'amue lengo kuu la mleta mada!
Kasinde wadada wasio na gari watakuchukia ujue! Then wakaka wanaopenda mtelezo watakusumbua bure! Si kila issue ni ya kuleta hapa na kujadiliwa!
...
Ngoja nianze kukudoea, kumbe unagari ee?!

We nawe kweli kilaza Madela Road na Makongo Juu wapi na wapi?@ KASINDE unakaa Makongo juu?
Basi bila shaka atakuwa ni utafiti
hahaha hapo uko sahihi utafiti ndo zake hizo
We nawe kweli kilaza Madela Road na Makongo Juu wapi na wapi?
Kwa huku Visiwani ni sawa na kusema Paje na Michenzani