HARRIER NEW MODEL INAHITAJIKA

masatujr1985

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,980
781
Salaam,
Kwa wale wauzaji wa magari kutoka kwenye show rooms gari inahitajika Harrier New Mdel CBA-ACU 30/35W cc 2360. Isiwe imetengenezwa kabla ya 2004. Gharama ya gari isizidi 21 M tafadhari.

Kwa wauzaji tafadhari wani-contact inbox ili niwaunganishe na mteja huyu.
 
Mkuu Harrier new model milioni 33 kwa show room hzo za kawaida ndo utapata kwa hyo bei
 
images-5-1.jpg

Mkuu hii ndyo harrier new model na kwa hyo hela yako hupati hata iwe mara 2 yake
 
Back
Top Bottom