Nauza harrier new model

Ene magari

Member
Jul 28, 2021
21
24
Harrier new model DMW
CC 2360
Mwaka 2004
Km 89,000
Bei 21 ml
Full option full body kity
Iko buza
0628729873

IMG-20220328-WA0064.jpg
 
Umeniwahi. Nilitaka kuuliza hivyo hivyo. Manufactured in 2004 siyo new model. unless matumizi ya neno new model ni tofauti na tunavyofikiri. Nimeona tena matangazo kama haya ya new model wakati gari imezidi miaka 10 tangu ilipotengenezwa.
Kwahiyo mdau atumie ile model yetu tunayoifahamu kuwa ni matako ya nyani 🤣🤣🤣.
Mkuu au umesahau sisi tukisema gari mpya, maanake ni used in Japan au UK au huko kwa wenyewe
 
Hahahahahaha harrier “Baboon Ass” ndio new model ya mjini daslam kana kwamba zile generation 2 za mbele hazitambuliki maana kuna latest ya 2022
 
Umenchekesha kinoma, ukimwambia mjapan wataka harrier baboon ass sijui ataelewa 🤣🤣.
Sisi tuko nyuma ya wakati bwana model yetu ambayo tumekubaliana kama ni latest ni hii ya 2004, na itaendelea kuwa hivyo mpaka tutakapokutana kwenye bunge la kuchagua model mpya 2028.
Ila mimi hakuna gari natamani kama ile defender new model. Sema nabaki kulitamani tu maana hata kupga nalo picha sijaweza
 
Hahahahah jigeuze chawa wa watoto wa bhakressa utapiga picha mpaka na G wagon
 
used car , used girls, used evertything , Bongo land naskia hadi condom wanaazimana used 😁 😁 😁 :rolleyes: 😁
We brand new mchezo, kigari cha mobius kinachotengenezwa hapo kenya eti dollar 13800 bila kodi na model mpya $38000
 
Hahahahah jigeuze chawa wa watoto wa bhakressa utapiga picha mpaka na G wagon
🤣🤣🤣Kuna fala flani alipiga picha na v8 limepaki kwake eti akaandika God keeps blessing me. Demu flani akamtxt hapo hapo aisee, naomba tukutane unionyeshe njia ukirudi dar. Mwisho akamla kimasihara na ni mke wa mtu 🤣🤣 akiamini kuwa jamaa anaimiliki.
 
Jamaa alikula kimasihara usifanye mchezo na V8 mzee gari inajiuza kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom