Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Jmaa kaachia nyimboanadai anapenda nundu...kaizungumzia na Nundu ya Jackline Wolper
Sijadharau mtu..Tunazaliwa na kufa siku moja mkuu,acha dharau
Hahahaha,sawa mkuuSijadharau mtu..
Ni sifa yake..
Kama ningesema ni HB ungeniambia haya?
Kakafie mbele haka ka kinyago ka kuchongwa..
[HASHTAG]#WCB4EVER[/HASHTAG]..
Hatoi videoomkuu hivi ni lini Diamond atatoa video ya ile single yaka ya "Acha nikae kimya" ??
Hatoi videoo
Kwani kila wimbo huwa unatolewa video ?mkuu hivi ni lini Diamond atatoa video ya ile single yaka ya "Acha nikae kimya" ??