Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,057
Huyu jamaa ameshapata kiki tialee, akitoa nyimbo sijui itakuwa vipi
Kwani kaimba wimbo gani mpaka sasa jamani maana naskia ni rapa tu ila wimbo wake sijawahi kuusikia
upo kama mie aisee, namuona mitandaoni ila nyimbo zake sijawahi zisikiaKwani kaimba wimbo gani mpaka sasa jamani maana naskia ni rapa tu ila wimbo wake sijawahi kuusikia
Hilo pensi hujaliona?Hiyo vest yake sasa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii ndio Tzee mkuu.Kwani kaimba wimbo gani mpaka sasa jamani maana naskia ni rapa tu ila wimbo wake sijawahi kuusikia
kabamba kwa kufananishwa , eti anaye fananishwa naye anakataa anasema siwezi fananishwa na [emoji205] [emoji205] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huyu jamaa bhanaissue sio nyimbo yake yani yeye kabamba tu upepo umekubali
Nifah....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii ndio Tzee mkuu.
Hatari tupu naona unamlisha baby wakoHilo pensi hujaliona?
Hahahah
[emoji4] Yes Saint Ivuga.Nifah....
Mkuu hata mm cjawah sikia wmbo wakeHahaha naona uigizaji umeingia bongofleva.
Hamorapa amekuwa na jina kubwa kuliko mziki wake na I am sure watu wengi wanamjua lakini hawajui wimbo wake kama mimi vile.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mungu anakuona!Hilo pensi hujaliona?
Hahahah