HARMORAPPA AIBUKA UPYA NA TOTOZ FULL MAPENZ

HARMORAPPA AIBUKA UPYA NA TOTOZ FULL MAPENZ

Zitaisha utakapo kamatwa ubungo unaenda ufipa!
 
Ngoja niende huko youtube kuangalia hiyo kazi yake nitarudi mda si mrefu.
 
Huyu jamaa nilisikia ana hojiwa akaulizwa vp unaweza kujiunga Wcb kama wakikuhitaji akasema siwezi kwenda Hata waiite WCBOO jamaa anajiamini kama tegere
 
Hata humu mmeishageuza forum ya udaku na ujinga ujinga
 
Baada ya kuuona wimbo YouTube nashawishika kusema alieimba chorus kama ni upcoming artist Ana nafasi ya kuwa mkali maradufu ya huyo Harmorapa.
Binafsi namuona bado hastahili sifa zinazovumishwa sio mkali huyo Harmorapa.....
 
m
Hahahaaaa nimeuona mkuu sikuwahi kujua kama ana wimbo, sio mbaya kajitahidi akiongeza bidii atafanya vizuri, ila huyo em_one nae simjui atakua underground pia.
Video yake naona kashoot oyster bay na baadhi ya sehemu ndani ya jiji la makamba
makamba tena sio makonda
 
Enyewe Harmorappa sio mtu wa spoti spoti...
73722f52d976220b8ec202ecdd1e7432.jpg
Hahaha huyu mbona kafanana na yule sura mbuzi wa yamoto band akiwa anacheka.
 
Humo hamna msanii lengo lake nini hasa
 
Jimama litahangaika naye , kumtoa maushamba na kumkarabati, akaija kunyooka fedha zikaingia magumegume ya mjini yatampora
 
Wambea thatha tuthemeni thithiiiii,napenda hapo tu kwnye nyimbo yake,yaani kama harmonize hadi nywelw![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom