HARMORAPPA AIBUKA UPYA NA TOTOZ FULL MAPENZ

HARMORAPPA AIBUKA UPYA NA TOTOZ FULL MAPENZ

c09fb1eb9401784c496c3b6c8b551f7b.jpg
naona ashaanza kupigwa make up.. kaanza kung'aa
 
Kwani kaimba wimbo gani mpaka sasa jamani maana naskia ni rapa tu ila wimbo wake sijawahi kuusikia
Ndugu mimi na wewe tunafanana.
Hata huo wimbo sijawahi kuusikia.
Watuwekee humu na sisi tuusikia khaa!
 
Hajatoa hata singo moja, na tayari ameshaitwa msanii. Alichojaaliwa ni sura yake kufanana na Harmonize. Ni kwamba magazeti ya udaku yameishiwa stori, kwa kumtumia huyu jamaa wanatengeneza stori za kuandika magazetini
una uhakika harmo rapa hana nyimbo ata moja?
 
It's all about confidence, jamaa ni street hustler mda sana anauza mitumba na pochi za wadada. Kiki imetokea tu acha a make headlines kwanza.
 
U superstar wa kibongo unapangwa na watu flan.Wakitaka uwe star hata kesho tu wanaweza ni ma godfather.
 
Back
Top Bottom