Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,641
- 698,058
Haya mama Harmoacha uongo, harmo yuko vizuri bhana.
Haya mama Harmoacha uongo, harmo yuko vizuri bhana.
Nawee nani?Haya mama Harmo
Msanii huwa hashushwi na mtu bali hujishusha mwenyewe, Diamond kwa discipline aliyonayo ukiongeza na dedication kwenye kazi na timu imara ya managers hakuna msanii kwa kizazi hiki cha wasanii ambaye ataweza hata kumkaribia kuanzia umaarufu mpaka mafanikio kibongobongo.wabongo bana Diamond tunamuona mwepesi sana sio?? yani harmo ampoteze Diamond mna utani kwakweli.
Ni msanii mzuri anaimba poa sana but level za chibu hawezi fika leo wala kesho watu wasichojua Diamond ndo msanii mwenye die hard fans kuliko wote bongo ukitoa juma nature wa enzi zile kumshusha ngumu sanaaa. Endeleeni kumpa kichwa tu show za club bongo zilibuma ulaya zimebuma watu hawajai kabisa anapenda kelele tu na kujimwambafy.
Kabisa watu wanafikiri ni bahati mbaya jamaa kuwa pale, kwenye wasanii 5 bora africa kila wakitoa nomination jamaa hakosi tunamdharau tu ila mchizi anatubeba sanaaMsanii huwa hashushwi na mtu bali hujishusha mwenyewe, Diamond kwa discipline aliyonayo ukiongeza na dedication kwenye kazi na timu imara ya managers hakuna msanii kwa kizazi hiki cha wasanii ambaye ataweza hata kumkaribia kuanzia umaarufu mpaka mafanikio kibongobongo.
Hebu chukua mfano rahisi hii AFRIMA Awards nominations uone anavyoibeba tasnia ya Bongo flavor kwenye mbeleko, hapo ndipo unatofautisha wapiga kelele zisizo na faida na wasanii wanaoipaisha Bongo flavor mpaka kwenye international levels.
Nominations ni recognition ya kuwa kazi unazofanya zinakubalika kiasi gani, Diamond ni kati ya current giants katika bara la Afrika kwenye tasnia ya muziki.
Kweli We Ke...!! Chafuu ilio chachuka kwa kukosa menstruation kwa mudaa wa miaka 9.Bange mbaya sana
Mbona unatukana mzee baba kiasi hichoKweli We Ke...!! Chafuu ilio chachuka kwa kukosa menstruation kwa mudaa wa miaka 9.
Uko kama mbwa Jike alie pandwa na madume tofauti na aka beba mimba ikashindwa kukua jike likawa njia pandaa afe au afanyajeee.
Any way huwenda umekunya mavi mengi alafu ukajiuliza leo nimekula ninii mpaka ninye ding'a a lote hiliii...???
Ila wakati mwingine huwenda ukawaza ni bangi zangu kumbe upwiru wa nyeto ukasababisha haya yoteee.
Nitoshe kusema kuwa wewe ni msengerema sana ambae huenda ukawa una Jinsia ya Ke... Ilio na nguvu sana
Huna hojaaa una zaniaa sanaaaMbona unatukana mzee baba kiasi hicho
Unajiombe akifo kisa upuuziUkimtaja harmonize tafadhari sana usimlinganishe na WCB. Tafuta mtu wa size yake. Diamond ni level nyingine kabisa.
Yani natamani nikifa, kwenye msiba wapige ngoma za MOND tu maana ntapumzika nikiwa nimeburudika sana au hata kufufuka inawezekana.
Kwani wewe hutakufa?Unajiombe akifo kisa upuuzi
Acha kujiona chawa chawa gani hujulikani unapotea kwenye nyweleKwani wewe hutakufa?
Acha kutafuta ligi na mimi. Sina muda wa kupoteza na wewe.Acha kujiona chawa chawa gani hujulikani unapotea kwenye nywele
*2555# okhivi kupata vituko kama hivi una bonyeza ngap ngap?
Sitafuti ligi na mtu kisa nini wewe hata mimi sinaAcha kutafuta ligi na mimi. Sina muda wa kupoteza na wewe.
Mamie hujiulizi kwanini asilimia kubwa wanapinga hoja yako?Sitafuti ligi na mtu kisa nini wewe hata mimi sina
hata kama ni kwa mapenzi, naomba usikufukuru MunguUkimtaja harmonize tafadhari sana usimlinganishe na WCB. Tafuta mtu wa size yake. Diamond ni level nyingine kabisa.
Yani natamani nikifa, kwenye msiba wapige ngoma za MOND tu maana ntapumzika nikiwa nimeburudika sana au hata kufufuka inawezekana.