Harmonize ni star anayekimbiza sanaa kwa sasa

wabongo bana Diamond tunamuona mwepesi sana sio?? yani harmo ampoteze Diamond mna utani kwakweli.
Ni msanii mzuri anaimba poa sana but level za chibu hawezi fika leo wala kesho watu wasichojua Diamond ndo msanii mwenye die hard fans kuliko wote bongo ukitoa juma nature wa enzi zile kumshusha ngumu sanaaa. Endeleeni kumpa kichwa tu show za club bongo zilibuma ulaya zimebuma watu hawajai kabisa anapenda kelele tu na kujimwambafy.
 
Msanii huwa hashushwi na mtu bali hujishusha mwenyewe, Diamond kwa discipline aliyonayo ukiongeza na dedication kwenye kazi na timu imara ya managers hakuna msanii kwa kizazi hiki cha wasanii ambaye ataweza hata kumkaribia kuanzia umaarufu mpaka mafanikio kibongobongo.
Hebu chukua mfano rahisi hii AFRIMA Awards nominations uone anavyoibeba tasnia ya Bongo flavor kwenye mbeleko, hapo ndipo unatofautisha wapiga kelele zisizo na faida na wasanii wanaoipaisha Bongo flavor mpaka kwenye international levels.
Nominations ni recognition ya kuwa kazi unazofanya zinakubalika kiasi gani, Diamond ni kati ya current giants katika bara la Afrika kwenye tasnia ya muziki.
 
Kabisa watu wanafikiri ni bahati mbaya jamaa kuwa pale, kwenye wasanii 5 bora africa kila wakitoa nomination jamaa hakosi tunamdharau tu ila mchizi anatubeba sanaa
 
Bange mbaya sana
Kweli We Ke...!! Chafuu ilio chachuka kwa kukosa menstruation kwa mudaa wa miaka 9.

Uko kama mbwa Jike alie pandwa na madume tofauti na aka beba mimba ikashindwa kukua jike likawa njia pandaa afe au afanyajeee.

Any way huwenda umekunya mavi mengi alafu ukajiuliza leo nimekula ninii mpaka ninye ding'a a lote hiliii...???

Ila wakati mwingine huwenda ukawaza ni bangi zangu kumbe upwiru wa nyeto ukasababisha haya yoteee.

Nitoshe kusema kuwa wewe ni msengerema sana ambae huenda ukawa una Jinsia ya Ke... Ilio na nguvu sana
 
Mbona unatukana mzee baba kiasi hicho
 
Ukimtaja harmonize tafadhari sana usimlinganishe na WCB. Tafuta mtu wa size yake. Diamond ni level nyingine kabisa.

Yani natamani nikifa, kwenye msiba wapige ngoma za MOND tu maana ntapumzika nikiwa nimeburudika sana au hata kufufuka inawezekana.
Unajiombe akifo kisa upuuzi
 
Harmonize yupo vizuri ila kinachomharibia aonekane wa kawaida sana ni
1. Kupondea, hawezi kutoa nyimbo bila kumponda Diamond. Akumbuke Mond ndiye kaka yake hata afanyaje. Tunauziwa na watu lkn tunasamehe na maisha yanaenda
2. Kucopy baadhi ya mistari ya watu. Inaonesha ubunifu hana
Harmonize akiaacha majungu atafika mbali sana. Ajaribu kusikiliza nyimbo za Alikiba na Diamond. Muziki wa kudis dis watu ushapitwa na wakati
Sio upofu mkuu
Jamaa asaivi ni mkalii

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom