hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,119
Wabongo bwana ..sisi wabongo ni wepesi sana wakuponda na Kutoa lawama ... Wakati huo huo siku hazigandi na wale ambao wanaopondwa baadhi ndio wanazidi kupaa kimafanikio
Binafsi sioni kama hamo amefanya jambo baya sana sana naona kama mkakati wake ni mzuri sana cause watu wanaofanya hivyo iwe ni wafanya biashara au wasanii kama harmo huwa wanafanyq hivyo kwaajili ya kutafuta security na kujisogeza karibu na opportunity .. so nyie endeleeni kuponda tu hapa mwenzenu ndio anazidi kuchana mabawa wake ili aweze kupaa na kuzifikia ndoto zake