Harmonize na Jackline Wolper wapigana (PICHA)

Jun 28, 2016
21
22
Hayahayaaaa!! Mapenzi yamejaa mambo jamani....We unafikiri wamepigana nini? ngumi? walaaaaa!!! wenzako wamepigana mabusu tu....tena siku nyingiiiii! Wala sio jana. nadhani hizi picha utakuwa ushaziona...nimeweka basi tu!
Harmonize.jpg

SAMAHANI LAKINIIIIII!!!!
 
Mbona hii ni zilipendwa, Wolper wakati huu alikuwa amefadhiliwa na Harmonize baada ya kuwachwa na mkongo wa kwanza, alikuwa hana pa kukaa, alichukua hoteli hela ya kulipa hana. Harmonize alilipa hoteli na kumhamishia kwake. Amepata mkongo mwingine mwenye pesa, hii ni old story.
 
kwa ubuyu tu uko vizuri bibie unaipenda kazi yako
 
Mbona hii ni zilipendwa, Wolper wakati huu alikuwa amefadhiliwa na Harmonize baada ya kuwachwa na mkongo wa kwanza, alikuwa hana pa kukaa, alichukua hoteli hela ya kulipa hana. Harmonize alilipa hoteli na kumhamishia kwake. Amepata mkongo mwingine mwenye pesa, hii ni old story.
Duh kwahiyo dogo naye kashatemwa?hawa watoto watakuja kupata magonjwa kwa kujitakia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom