Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Bwana mdogo nikushauri kitu kimoja cha msingi sana! Hata kama humpendi mtu,weka heshima kwake walau kidogo tu!

1. Ili upate wito wa kwenda serikali za mitaa,barua ya wito huletwa na mjumbe,ukiitwa kwenda kwenye baraza la ardhi la kata!

2. Jina la Rajabu ili watu wajue kwamba nani anaitwa,lazima aka yake ya Hamornize kwenye majina yake ingeweka!

3. Harmonize alihamaje usiku,bila ya majirani zake kujua kwamba huyu anahama? Unadhani Mbezi ni sawa na Tandale kwamba unaweza hamisha vitu vyako vyote kwenye Shangazi kaja? Mbona unakua na akili kisoda??

4. Nenda kajipange tena na tena,ndiyo urudi na porojo zako!

5. Hiyo Barua ni GAKA,nimewahi fanya kazi za mjumbe wa shina

Sent using Jamii Forums mobile app
soma hiyooo Josh J

Ova
 
Taarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.

Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na Eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
Acha uongo,kuna nyumba ya kisasaa siku hizi ina curtain box?
 
Ivi kwann hawajengag hawa kiwanja uko boko madale ama bunju kigambon kwa 10m unapata cha maana kabisa sqm ata elf moja na kitu na nyumba ata 30m ina simama apa ndo uwa mashaka na hawa wasanii wetu yan mtu anaingiza ata 100m kwa mwaka anashindwa kujenga mfanyakaz wa lak 5 anajenga kwa mkopo

A
Ku keep up na maisha ya kimjini mjini ni gharama sana.. Hawa wasanii wanapata hela nzuri tu ila shida matumizi yao na lifestyle wanayoishi..

Hawa mademu wa kimjini mjini ndio wanachakata pesa hata uzalishe vipi hutafanya lolote la maendeleo. Wasanii wetu wanatumia gharama kubwa sana kwa PR za kishenzi shenzi tu ili wajilandishe thamani yao.

Kama huyu Konde, kwa mama yake kijijini kashindwa hata kumjengea nyumba ya maana na kumvutia umeme. Kinyumba cha kawaida hata rangi hakijapakwa, umeme hajavutia kumwekea solar sijui. Sasa uwakute mjini wanakimbizana na slay queen's unaeza sema ni mabilionea.

Na hii sio kwa Konde pekeake. Hata huko Wasafi nako ni njaa tu na PR zisizo na msingi. Huyo diamond juzi anadanganya watu eti kasign deal ya Billion 10, hivi usign Billion 10 mama yake angekuwa anaenda kuuza vitenge na madela pale Sinza??
 
Aya mauongo sijui uwa ya nn aisee
 
Back
Top Bottom