Harmonize kadanganya mashabiki wake kuhusu album?

Harmonize kadanganya mashabiki wake kuhusu album?

Scared

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,847
Reaction score
17,503
Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya mashabiki wake ni wajinga?
 
Wasanii huwajui wajanja wajanja wanaangalia pia upepo ila Leo labda anafanya suprise Leo kuna upepo mzuri wa watu kujaza viwanja vya kula bata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom