Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Hata kama akibadili hawezi funga ndoa na mwanamke aliyekuwa kwenye ndoa yake teyari haipo kwenye ukristu unless her previous husband die. Atafumhishwa ndoa na mchungaji feki labda who knows.
Atafungishwa ndoa na mchungaji bilionare shila au mc pilipili.
 
Hata kama akibadili hawezi funga ndoa na mwanamke aliyekuwa kwenye ndoa yake teyari haipo kwenye ukristu unless her previous husband die. Atafumhishwa ndoa na mchungaji feki labda who knows.
Mzee baba haya mambo ya mapenzi ni yakuyaacha, ukute kuna mtu mwingine akimuona demu wako anakushangaa unawezaje kuishi na mwanamke kama huyoalivyo mchafu, wakat wewe unamuona freh kabsa
 
Mzee baba haya mambo ya mapenzi ni yakuyaacha, ukute kuna mtu mwingine akimuona demu wako anakushangaa unawezaje kuishi na mwanamke kama huyoalivyo mchafu, wakat wewe unamuona freh kabsa
Kajala alikuwa lkwenye ndoa teyari. Kwa mfumo wa kikristu ndoa hutenganishwa kwa kifo hakuna talaka. Mme wa kajala yuko hai na maana yake ni kuwa bado kidini wanatambulika kama mke na mume.
 
S
Kajala alikuwa lkwenye ndoa teyari. Kwa mfumo wa kikristu ndoa hutenganishwa kwa kifo hakuna talaka. Mme wa kajala yuko hai na maana yake ni kuwa bado kidini wanatambulika kama mke na mume.
Sidhani, kuna. Mambo ya uasherati, uhanisi, magonjwa mfano HIV, hiyo inafanya ndoa kuvunjika na Kupeana talaka
 
Harmonize anajua kuteka media, saivi kila habari ni harmonize, Kama ni kick basi hii ni super kick, nakumbuka enzi za diamond na wema.
Harmonize sio mjinga, upepo wake uko kwa Kajala. Kutoka nae kumempa mileage sana katika umaarufu na recognition. Ni nyota tu inawaka zaidi akiwa na Kajala ndio maana hata kipindi hawako wote watu walikuwa wanampuuza tu.
 
Hivi Kajala alishaolewa rasmi na Baba Paula au walizaa tuu? Ila ni ushenzi wa ajabu mno kubadili dini. Kwa nini wasingefunga ndoa mseto? Hapa ndiyo namdharau huyu Mmakonde. Mimi ni follower wake Ila kwa hili naweza unfolliw kabisa .
Mmewe yuko jela somebody faraji walikutwa na kesi ya kutakatisha hela .

Yeye akaokolewa na wema sepenga
 
Back
Top Bottom