Harmonize: Hayati Magufuli alinisaidia niliponyanyaswa na Diamond Platnumz

umemsikiliza Harmonize amesemaje kuhusu kulipa?

Mtu anasema aliishalipa hela yote ila akanyimwa termination letter... Diamond akawa anamkwepa mara kadhaa ndio akamwambia rais.....

hapo nani hajafuata taratibu za mkataba? Na nani ni mswahili? Maana hiyo hali ya kununua mkataba na kuuvunja ipo duniani kote na kwenye sanaa zote
Harmonize muongo na hatofanikiwa kama Chadema iwapo atatumia uongo ili ajitweze. Kama mkataba ule ulikuwa "legal and bind" ndio maana alilipa zile hela. Kama Diamond alikuwa anamkwepa kumpa Hati ya Kuvunja Mkataba kwanini hakumpeleka mahakamani?
 
Unapata faida gani kutetea ujinga?
 
WACHACHE SANA NDIO HAWAMPENDI MAGHUFULI
AMBAO ALIKUWA ANAGUSA MADILI YAO YA KIJINGAJINGA
LKN SISI WENGINE TOKA MOYONI NI SUKUMA GANGS.

cc ZITO MUONGO SANAAAAAA
MAGUFULI hajaakuwa na haters yaani wanaojitambua ila palikuwa na wapumbavu wachache ambao hawamuelewi na wanamugopa mpaka amefariki ndo wanaongea porojo
 
TATIZO LA KUPELEKA MAMBO KISWAHILI,UNAPOTAKA KUVUNJA MKATABA SEHEMU LAZIMA UTIMIZE MASHARTI YA MKATABA KWANZA IKIWEMO MALIPO YA KUVUNJA MKATABA KAMA YAPO,HUYO CHA KULIA LIA ALITAKA ASILIPE ILE ADA YA KUVUNJA MKATABA.

WATANZANIA NI WATU WASIOHESHIMU MIKATABA SIO SERIKALI SIO WANANCHI,RAISI MI NANI HATA AINGILIE MKATABA WA KIBIASHARA AMBAO YEYE SIO SEHEM YA MKATABA HUO???UHURU WA SHERIA UKO WAPI???RAISI ANAINGILIA KATI KAMA KUNA UONEVU NA SIO KULAZIMISHA HATA AMBAPO KUNA HAKI NA MKATABA UNASEMA HIVYO,LIPA ONDOKA SIO JANJA JANJA
Wapambe wa SADALA bhana,OK tutajie hayo masharti ya kuvunja mkataba

Halafuu haipendezi kijana mtanashati kama wewe ukawa mbumbumbu kiasi hiki,sometimes jaribu kusupport mambo ya msingi hii itakua faida si kwako tu bali kwa kizazi chako,na ukumbuke pia dhulma inatafuna na wanaitetea pia hawako safe ni suala la muda tu
 
TOKA AMETOKA PALE AME ACHIEVE NINI TOFAUTI MA ALIPOKUWA PALE???NJOO NA VALID EVIDENCE SIO CHUKI ZA KISHABIKI
Ametoka kwenye show huko marekani,wakati akiwa wasafi hakuruhusiwa hata kwenda kumzika RUGE MUTAHABA

FREEDOM ni achievement wewe chawa wa SADALA
 
Huyo Mmakonde aache kutia Huruma, mwambieni akafanye kazi na ili kuonesha kwamba kazi zote alizofanya mwaka huu ni chafu hajawa nominated kwenye tuzo hata moja

Acheni kulialia nyie wamakonde
Watu wa 🇧🇮 bhana,sasa nyie hata mkienda shiriki huko mnaleta nini?

Huyo lucifer/mnyonyaji three times nominated kwenye BET lini aliileta tuzo nyumbani?
 
TATIZO LA KUPELEKA MAMBO KISWAHILI,UNAPOTAKA KUVUNJA MKATABA SEHEMU LAZIMA UTIMIZE MASHARTI YA MKATABA KWANZA IKIWEMO MALIPO YA KUVUNJA MKATABA KAMA YAPO,HUYO CHA KULIA LIA ALITAKA ASILIPE ILE ADA YA KUVUNJA MKATABA.

WATANZANIA NI WATU WASIOHESHIMU MIKATABA SIO SERIKALI SIO WANANCHI,RAISI MI NANI HATA AINGILIE MKATABA WA KIBIASHARA AMBAO YEYE SIO SEHEM YA MKATABA HUO???UHURU WA SHERIA UKO WAPI???RAISI ANAINGILIA KATI KAMA KUNA UONEVU NA SIO KULAZIMISHA HATA AMBAPO KUNA HAKI NA MKATABA UNASEMA HIVYO,LIPA ONDOKA SIO JANJA JANJA
Uliskiliza intavyuu au?!!!
 
Watu wa 🇧🇮 bhana,sasa nyie hata mkienda shiriki huko mnaleta nini?

Huyo lucifer/mnyonyaji three times nominated kwenye BET lini aliileta tuzo nyumbani?
Umekula?
Umekunywa maji baridi kabisa?
Kama hujafanya hivyo vitu, nenda kafanye na utanishukuru badae
 
Aisee huyu jingamondi ana mambo ya kiwaki sana.

Magufuli alikua Rais Bora sana.
 
Back
Top Bottom